Kisa changu Podcast; Ugonjwa wa Fistula ulivyoathiri maisha yangu -Sharon Korir
Wakili Sharon Korir mwathiriwa wa Fistula, anasema alipitia nyingi baada ya kugundua anaugua Fistula ukiwamo unyanyapaa kutoka kwa familia na jamaa zake. Anasema alianza kuugua baada ya kujifungua mwanawe wa pili. Baada ya kudhalilishwa […]
Kisa changu Podcast; Ugonjwa wa Fistula ulivyoathiri maisha yangu -Sharon Korir Read More »